Waziri Mkuu akagua kazi ya kufufua na kusafisha visima vya maji safi Dar

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia maji yaliyokuwa yakibubujika wakati alipokag ua visima vya dharura vinavyosafishwa, kufufuliwa na kuunganishwa kwenye mfumo wa huduma maji kwa wananchi katika eneo la Tabata Relini jijini Dar es salaam , Novemba 10, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Cyprian Luhemeja (kushoto) wakati alipokagua visima vya dharura vinavyosafishwa na kufufuliwa na kuunganishwa kwenye mfumo wa huduma ya maji kwa wananchi katika eneo la Mwananyamala Komakoma jijini Dar es salaam , Novemba 10, 2022. Wa nne kulia ni Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya DAWASA, Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange na wa tatu kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Kate Kamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia maji yaliyokuwa yakibubujika wakati alipokagua visima vya dharura vinavyosafishwa, kufufuliwa na kuunganishwa kwenye mfumo wa huduma maji kwa wananchi katika eneo la Tabata Relini jijini Dar es salaam , Novemba 10, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Post a Comment

0 Comments