Waziri Mkuu aongoza kikao cha Mawaziri na baadhi ya watendaji wa Serikali

NA MWANSHI WETU

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa leo Novemba 8, 2022 ameongoza kikao kazi cha Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na baadhi ya watendaji wa Serikali kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoongoza Kikao Kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Novemba 8, 2022. kushoto kwake ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt, John Jingu.

Post a Comment

0 Comments