Waziri Mkuu ateta na Balozi wa Qatar nchini Tanzania


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 2, 2022 amezungumza na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Hussein Bin Ahmad Al Homaid, Ofisini kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments