China yashirki kuleta tabasamu kwa wananchi Zanzibar

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi (kulia) ambae pia ni Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akipokea msaada wa kamba na life Jacket ambavyo vinaenda sambamba na boti 15 na vifaa vyake zilizotolewa na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng, hafla iliyofanyika Desemba 14, 2022 katika Ofisi za ZMBF Migombani jijini Zanzibar. (Pcha na Ikulu).
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi (kulia) ambae pia ni Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akipokea msaada wa boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket, ambazo zilizotolewa na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar, Mhe.Zhang Zhisheng.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, pia Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation "ZMBF" (katikati) akipokea hundi ya zaidi ya shilingi za Kitanzania Millioni sitini na tano kutoka kwa Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng (kushoto) baada ya kupokea msaada wa boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket katika hafla iliyofanyika katika Ofisi za ZMBF Migombani jijini Zanzibar (kulia) Katibu wa Taasisi ya ZMBF Ndg,Mwanaidi M.Ali.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi (kulia) ambae pia ni Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akitiliana saini na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng katika hafla ya kukabidhi msaada wa boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi (kulia) ambae pia ni Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akibadilishana hati na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng baada ya kutiliana saini, katika hafla ya kukabidhi msaada wa boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, pia Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akizungumza machache na kutoa shukurani kwa Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng (kushoto) baada ya kupokea msaada wa boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket katika hafla iliyofanyika katika Ofisi za ZMBF Migombani jijini Zanzibar.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news