DPP Mwakitalu abisha hodi Gereza la Mahabusu Mkuza kusikiliza changamoto mbalimbali

Mkurugenzi wa Mashtaka nchini, Bw. Sylvester Mwakitalu akisalimiana na Mkuu wa Gereza la Mahabusu Mkuza Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Ibrahim Nyamka alipotembelea gereza la Mahabusu Mkuza leo Desemba 10,2022.
Picha ya pamoja ikijumlisha Mkurugenzi wa Mashtaka (mwenye tai nyekundu)Mkuu wa Gereza la Mahabusu Mkuza Mrakibu wa Magereza, Ibrahim Nyamka (kushoto kwa Mkurugenzi wa Mashtaka) akiwa na baadhi ya viongozi kutoka Ofisi ya Taifa ya Mashtaka wakati wa ziara ya Mkurugenzi wa Mashtaka kutembelea Gereza la Mahabusu Mkuza mkoani Pwani leo Desemba 10,2022.
Mkuu wa Mashtaka Mkoa wa Pwani Mkunde Mshanga akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini, Bw. Sylvester Mwakitalu alipomtembelea ofisini kwake wakati wa ziara ya Mkurugenzi wa Mashtaka kutembelea magereza nchini kuangalia hali halisi ya magereza. Ziara hiyo imefanyika leo Desemba 10,2022.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news