Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kaspar Kaspar Mmuya awasili ofisini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kaspar Kaspar Mmuya akipokea maua kutoka kwa mtumishi wa wizara hiyo,Aisha Juma ikiwa ni ishara ya kumkaribisha Makao Makuu ya wizara hiyo,leo Mtumba jijini Dodoma siku chache baada ya kuapa kuiongoza wizara hiyo.Katikati ni Naibu Katibu Mkuu,Dkt.Maduhu Kazi.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kaspar Kaspar Mmuya akisalimiana na Mkurugenzi Msaidizi wa Sera na Mipango wa wizara hiyo,Amani Mashaka wakati alipowasili Makao Makuu ya wizara hiyo,leo Mtumba jijini Dodoma siku chache baada ya kuapa kuiongoza wizara hiyo.Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kaspar Kaspar Mmuya akisalimiana na Mkaguzi Mkuu wa Ndani,Martina Nguluma wakati alipowasili Makao Makuu ya wizara hiyo,leo Mtumba jijini Dodoma siku chache baada ya kuapa kuiongoza wizara hiyo.Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kaspar Kaspar Mmuya akisalimiana na mtumishi wa wizara hiyo,Mariamu Omary wakati alipowasili Makao Makuu ya wizara hiyo,leo Mtumba jijini Dodoma siku chache baada ya kuapa kuiongoza wizara hiyo.Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kaspar Kaspar Mmuya akisalimiana na mtumishi wa wizara hiyo,Juma Mnyanile wakati alipowasili Makao Makuu ya wizara hiyo,leo Mtumba jijini Dodoma siku chache baada ya kuapa kuiongoza wizara hiyo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news