Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais Dkt.Mwinyi yatia fora

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akivalishwa skafu Desemba 11, 2022 katika mapokezi baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa Desemba 8, 2022. (Picha na Ikulu).
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mama Siti Mwinyi pamoja na viongozi mbalimbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakati wa mapokezi yake akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa, kulia ni Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na viongozi mbalimbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakati wa mapokezi yake akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiangalia Vikundi vya Burudani wakati wa mapokezi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Wananchi na Viongozi wa CCM wakati wa mapokezi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakikaribishwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt.Abdaala Juma Sadala (Mabodi) katika Ukumbi wa Viongozi (VIP) wakati wa mapokezi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi waliofika kumlaki wakati wa mapokezi katika barabara ya kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kuelekea Ofisi Kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui, alipowasili kutokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa.
.Wananchama wa CCM Jimbo la Magomeni wakiwa katika mapokezi katika barabara ya kutoka Kilimani kuelekea Kariakoo jijini Zanzibar wakati wa mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa.
Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM Zanzibar na Rais mstaafu wa Zanzibar, Dkt.Ali Mohamed Shein (kulia) akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui jijini Zanzibar alipowasili akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitia saini kitabu aliofika katika Ofisi yake katika Jengo la Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui jijini Zanzibar alipowasili akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa,kushoto ni Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM Zanzibar na Rais mstaafu wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein.
Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kulia) mara baada ya kutia saini kitabu aliofika katika Ofisi yake katika Jengo la Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui jijini Zanzibar alipowasili akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa 10 uliomchagua kushika nafasi hiyo katika uchaguzi Mkuu wa CCM Taifa.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, baada ya kumalizaka kwa sherehe za mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar zilizofanyika katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja jijini Zanzibar. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika kuitikia dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Marehemu Abeid Amani Karume, iliyofanyika katika kaburi la marehemu viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja ikiwa ni sherehe za mapokezi yake akitokea mkoani Dodoma baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama Cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma, kulia kwa Rais ni Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla na Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM Zanzibar,Ali Mohamed Shein.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news