Mawaziri, wabunge, watendaji ndani ya CCM, wanahabari, wasanii na wafanyabiashara wateuliwa kugombea ujumbe NEC, haya hapa majina 374

NA DIRAMAKINI

HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)-NEC imepitisha majina ya wagombea 374 kuwania ujumbe wa ya wagombea wa ujumbe wa NEC.

Wagombea hawa watachuana kuwania viti 30 kwa maana ya 15 Tanzania Bara na 15 Zanzibar katika mkutano mkuu wa CCM unaoanza Desemba 7 hadi 8,2022.

Kikao cha kuchuja majina ya wagombea zaidi ya 2,000 kimefanyika leo Desemba 2022 chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Tanzania Bara wamepitishwa wagombea 251 watakaowania nafasi 15. Kati ya hao 251, wanawake ni 79 na wanaume 172;








KUTOKA ZANZIBAR, MAJINA YALIYOPITISHWA



Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news