Medali baada ya ushindi katika michezo ya Mabunge EAC




Wanamichezo wa mchezo wa Riadha, Darts na Kuvuta Kamba wa Bunge wa Sports Club wakipokea medani zao kufuatia ushindi waliopata wakati wa Mashindano ya 12 ya michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ambayo imehitimishwa Desemba Mosi, 2022 jijini Juba nchini Sudan Kusini.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news