Ni Bibi Titi Memorial Festival kuanzia Desemba 14 hadi 15 katika Uwanja wa Ujamaa Rufiji, utakutana na vipaji kama hivi

HALMASHAURI ya Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Rufiji chini ya Mheshimiwa Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa inakuletea Bibi Titi Memorial Festival kuanzia Desemba 14 hadi 15,2022 katika Uwanja wa Ujamaa Rufiji.
KWA SASA HABARI YA MJINI NI BIBITITIMEMORIAFESTIVAL #TUKUTANE RUFIJI...PATA BURUDANI KIDOGO YA SINGELI HAPA CHINI WAKATI UKIJIANDAA KUSHIRIKI TUKIO HILO MUHIMU NA KUBWA NCHINI;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news