Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa UVCCM Taifa ukiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ali Kawaida (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu leo.(Picha na Ikulu).