Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 7,2022

NA GODFREY NNKO

LEO shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.63 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 7, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2803.66 na kuuzwa kwa shilingi 2832.62 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.11 na kuuzwa kwa shilingi 2.14.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.45 na kuuzwa kwa shilingi 631.65 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.41 na kuuzwa kwa shilingi 148.71.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2297.14 na kuuzwa kwa shilingi 2320.11 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7486.68 na kuuzwa kwa shilingi 7559.08.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 221.81 na kuuzwa kwa shilingi 223.96 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 132.64 na kuuzwa kwa shilingi 133.03.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.74 na kuuzwa kwa shilingi 10.31.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.83 na kuuzwa kwa shilingi 17.00 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 328.64 na kuuzwa kwa shilingi 331.81.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 27.89 na kuuzwa kwa shilingi 28.16 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.73 na kuuzwa kwa shilingi 18.88.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2414.06 na kuuzwa kwa shilingi 2438.43.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 7th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.4462 631.649 628.5476 07-Dec-22
2 ATS 147.4074 148.7136 148.0605 07-Dec-22
3 AUD 1544.1366 1559.81 1551.9733 07-Dec-22
4 BEF 50.2822 50.7272 50.5047 07-Dec-22
5 BIF 2.1994 2.216 2.2077 07-Dec-22
6 CAD 1686.7161 1703.3331 1695.0246 07-Dec-22
7 CHF 2441.946 2465.8412 2453.8936 07-Dec-22
8 CNY 328.6369 331.8093 330.2231 07-Dec-22
9 DEM 920.4386 1046.2728 983.3557 07-Dec-22
10 DKK 324.6196 327.7732 326.1964 07-Dec-22
11 ESP 12.1909 12.2985 12.2447 07-Dec-22
12 EUR 2414.063 2438.4356 2426.2493 07-Dec-22
13 FIM 341.1457 344.1687 342.6572 07-Dec-22
14 FRF 309.2248 311.9602 310.5925 07-Dec-22
15 GBP 2803.6577 2832.6223 2818.14 07-Dec-22
16 HKD 295.3342 298.2722 296.8032 07-Dec-22
17 INR 27.8996 28.1598 28.0297 07-Dec-22
18 ITL 1.0476 1.0568 1.0522 07-Dec-22
19 JPY 16.835 17.0021 16.9186 07-Dec-22
20 KES 18.7292 18.8857 18.8075 07-Dec-22
21 KRW 1.7404 1.7562 1.7483 07-Dec-22
22 KWD 7486.6819 7559.0851 7522.8835 07-Dec-22
23 MWK 2.0788 2.239 2.1589 07-Dec-22
24 MYR 523.1471 527.2977 525.2224 07-Dec-22
25 MZM 35.395 35.694 35.5445 07-Dec-22
26 NLG 920.4386 928.6012 924.5199 07-Dec-22
27 NOK 231.033 233.2824 232.1577 07-Dec-22
28 NZD 1454.3185 1469.7897 1462.0541 07-Dec-22
29 PKR 9.7388 10.3116 10.0252 07-Dec-22
30 RWF 2.1074 2.1454 2.1264 07-Dec-22
31 SAR 611.1037 617.0505 614.0771 07-Dec-22
32 SDR 3055.5619 3086.1175 3070.8397 07-Dec-22
33 SEK 221.8129 223.964 222.8884 07-Dec-22
34 SGD 1693.9301 1710.3649 1702.1475 07-Dec-22
35 UGX 0.5968 0.6262 0.6115 07-Dec-22
36 USD 2297.1386 2320.11 2308.6243 07-Dec-22
37 GOLD 4079626.2927 4121605.8117 4100616.0522 07-Dec-22
38 ZAR 132.64 133.9292 133.2846 07-Dec-22
39 ZMW 128.8736 134.0329 131.4533 07-Dec-22
40 ZWD 0.4299 0.4385 0.4342 07-Dec-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news