ORODHA YA MAJINA YA WANACHAMA WA CCM WANAOOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA NAFASI YA HALMASHAURI KUU Y A CCM TAIFA NEC

NA DIRAMAKINI

HALMASHAURI Kuu ya CCM ya Taifa, katika Kikao chake kilichofanyika Dodoma, tarehe 6 Disemba 2022, pamoja na mambo mengine, ilifanya tathmini ya Mwenendo wa Uongozi wa Chama katika kipindi cha miaka mitano (2017-2022).
Katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa imempongeza Dkt. Ali Mohamed Shein (Makamu Mwenyekiti wa CCM – Zanzibar) pamoja na viongozi wote wa Chama wa ngazi ya Taifa, Mikoa, Wilaya, Majimbo, Kata/Wadi na Matawi kwa uongozi wao uliotukuka na heshima kubwa waliokipatia Chama Cha Mapinduzi kwa kipindi chote cha miaka mitano (2017 – 2022).

"Kipekee, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa inatambua na kuthamini mchango mkubwa wa Dkt. Ali Mohamed Shein kwa uongozi wake mahiri wenye kuzingatia weledi, uadilifu, uzalendo, busara na hekima kwa nyadhifa zote alizotumikia katika Chama na Serikali zote mbili; Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

"Hakika, aina ya uongozi alioonesha Dkt. Ali Mohamed Shein ni Dira na Mwongozo kwa ustawi wa Chama chetu na Maendeleo ya Taifa letu. Kwa uchache, kutokana na uongozi wake, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, itakumbuka misingi imara ifuatayo iliyowekwa na Dkt, Ali Mohamed Shein wakati anaponga’atuka katika uongozi wa Chama;

(a) Uboreshaji wa Miundombinu ya barabara, madaraja, uwanja wa ndege wa Kimataifa, huduma za Elimu, Afya na Maji. Mfano, ujenzi wa barabara ya Kaskazini Unguja kuanzia Bubu hadi Kinyasini na barabara katika Mikoa miwili ya Pemba, pamoja ujenzi wa Skuli za ghorofa katika Wilaya zote 10 za Zanzibar.

(b) Uboreshaji wa maslahi ya watumishi wa umma. Mfano, Kuongezeka kwa kima cha chini cha Mishahara hadi shilingi 300,000/= kwa mwezi sambamba na kuanzisha pensheni ya wazee kwa kuwapatia kima cha shilingi 20,000/= kwa mwezi kila mzee mwenye umri wa miaka 70.

(c) Dkt. Ali Mohamed Shein alisimamia maridhiano ya kisiasa kwa kuasisi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye Muundo wa Umoja wa Kitaifa.

(d) Dkt. Ali Mohamed Shein alisimamia harakati zilizowezesha kupatikana kwa ushindi wa CCM wa kihistoria wa asilimia 76 katika uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020. Katika uchaguzi huo, CCM iliweka historia ya kushinda majimbo 14 kati ya 18 kwa upande wa Pemba, jambo ambalo halikuwahi kutokea tangu kuasisiwa kwa siasa za Mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.

(e) Kuimarisha umoja na mshikamano miongoni mwa wanachama wa CCM na Jumuiya zake katika ngazi zote za uongozi kuanzia Shina hadi Taifa.

Kwa kuhitimisha, Chama cha Mapinduzi, kinamshukuru Dkt. Ali Mohamed Shein kwa mchango wake alioutoa kwa Chama na Serikali akiwa Kiongozi. Aidha, Chama kitaendelea kutumia uzoefu wake wa uongozi katika ushauri wa masuala mbalimbali. Mwisho, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa inamtakia siha njema katika majukumu yake".

ORODHA YA MAJINA YA WANACHAMA WA CCM WANAOOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA NAFASI YA HALMASHAURI KUU Y A CCM TAIFA NEC VITI 15 ZANZIBAR.


KUNDI LA WANAUME

Ndg. Nabil Ahmed ABDALLA

Ndg. Abdi Ismail ABUUBARAK (Matoroba)

Dr Hassan Rashid ALI

Dr. Abdulhalim Mohammed ALI

Ndg Khamis Salum ALI

Ndg Suleiman Makame ALI

Ndg Ali Suleiman ALI (Shihata)

Ndg Amin Salmin AMOUR

Ndg Bakari Hamad BAKAR

Ndg Abdul-fatah Hamad BAKAR

Ndg Rajab Omar BAKAR (Bimshibe)

Ndg Ali Khamis BAKAR (Doholo)

Ndg Hamad Ahmed BAUCHA

Ndg Dkt. Hashim Hamza CHANDE

Ndg. Abdalla Maulid DIWANI

Ndg. Mohamed Issa HAJI

Ndg. Ali Amour HAJI

Ndg. Khamis Yussuf HAMAD

Dkt. Soud Nahoda HASSAN

Ndg. Ali Abdul-gulam HUSSEIN

Ndg. Parmukh Singh HOOGAN

Ndg. Jaddy Simai JADDY

Ndg. Daudi Khamis JUMA

Ndg. Juma Sururu JUMA

Ndg. Abdulhafar Idrissa JUMA

Eng. Nassir Ali JUMA

Ndg. Hamza Hassan JUMA

Ndg. Ali Abeid KARUME

Ndg. Shamata Shaame KHAMIS

Ndg. Zubeir Juma KHAMIS

Ndg. Khamis Hamza KHAMIS (Chilo)

Ndg. Khamis Mbeto KHAMIS (Mambo)

Ndg. Khamis Salim KHAMIS

Ndg. Khamis Rashid KHEIR (Makoti)

Ndg. Suleiman Masoud MAKAME

Dkt. Abdulla Hasnuu MAKAME

Ndg. Othman Ali MAULID

Ndg. Mbarouk Nassor MBAROUK

Prof. Makame Mnyaa MBARAWA

Ndg. Omar Zubeir MBWANA

Ndg. Shaame Simai MCHA

Ndg. Joseph Abdalla MEZA

Ndg. Mmanga Mjengo MJAWIRI

Ndg. Louis Henry MAJALIWA

Ndg. Abdallah Idrissa MAJURA

Ndg. Hussein Migoda MATAKA

Ndg. Mohamed Aboud MOHAMED

Ndg. Mahfoudh Abdalla MOHAMED

Ndg. Ali Juma MOHAMED (Raza)

Ndg. Mohamed Said MOHAMED (Dimwa)

Ndg. Abass Ali MWINYI

Ndg. Salum Ubwa NASSOR

Ndg. Cassian Gallos NYIMBO

Ndg. Omar Abdalla OMAR

Ndg. Abdalla Miraji OTHMAN

Ndg. Suleiman Juma PANDU

Dr. Joanness Justas PETRO

Ndg. Mbaraka Said RASHID

Dkt. Abdulla Juma SAADALA (Mabodi)

Ndg. Mattar Ali SALUM

Ndg. Juma Ali SIMAI

Ndg. Mohamed Mussa SEIF (Mkobani)

Ndg. Shaka Hamdu SHAKANdg. Pandu Salim SUNGURA

Ndg. Haroun Ali SULEIMAN

Ndg. Mudrik Ramadhan SULEIMAN (Soraga)

Ndg. Suleiman Haroub SULEIMAN (Bapee)

Ndg. Issa Haji USSI (Gavu)


KUNDI LA WANAWAKE

Ndg. Asha Ramadhan ABDALLA

Ndg. Pili Bakari ABDISALAMI

Ndg. Khadija Hassan ABOUD

Ndg. Mvita Mustafa ALI

Ndg. Maryam Omar ALI

Ndg. Luluwa Salum ALI

Ndg. Shara Ame AHMEID

Ndg. Latifa Nassor ABDi

Ndg. Yasmin Yusufali ALOO

Ndg. Hasina Shaibu AME

Ndg. Chiristina Joram ANTHON

Ndg. Mwanamkasi Rajab AZIZ

Ndg. Maimuna Elias BARABARA

Ndg. Mwanamvua Mussa BILAL

Dk. Maudline Cyrus CASTICO

Ndg. Amina Andrew CLEMENT

Ndg. Najma Murtaza GIGA

Ndg. Fatma Abeid HAJI

Ndg. Sabah Bakari HASSAN

Ndg. Zainab Said HASSAN

Ndg. Raya Mkoko HASSAN

Ndg. Samia Ali HUSSEIN

Ndg. Waride Bakari JABU

Ndg. Faidhat Khamis JUMA

Ndg. Mgeni Hassan JUMA

Ndg. Aneth Aniceth KAMALA

Ndg. Sienu Subeti KAMNA

Ndg. Mwantatu Mbaraka KHAMIS

Ndg. Maryam Mohamed KHAMIS

Ndg. Hafsa Said KHAMIS

Ndg. Tunu Juma KONDO

Ndg. Lilian Grace LIMO

Ndg. Amina Iddi MABROUK

Ndg. Jamila Flavian MAHEMBA

Dr. Sira Ubwa MAMBOYA

Ndg. Fatma Hamza MOH’D

Ndg. Lucy John MPEMBO

Ndg. Aziza Rashid MUSSA

Ndg. Lela Mohamed MUSSA

Ndg. Lucy Eduard MWAKYEMBE

Ndg. Tabia Maulid MWITA

Ndg. Mary Saimon MKULILA

Ndg. Leilah Birhan NGOZI

Ndg. Amina Khamis OMAR (Mama Afrika)

Ndg. Anna Athanas PAUL

Ndg. Mwanakhamis Kassim SAID

Dkt. Saada Mkuya SALUM

Ndg. Rahma Mohamed SANYA

Ndg. Shadya Shaaban SEIF

Ndg. Saada Salum SIMBA

Ndg. Time Bakar SHARIF

Ndg. Harusi Said SULEIMAN

Ndg. Saadie Hamid SULEIMAN

Ndg. Ummul-kulthum Ambar UJUDI

Ndg. Mtumwa Peya YUSSUF

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news