Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 8,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 220.87 na kuuzwa kwa shilingi 223.00 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 132.71 na kuuzwa kwa shilingi 133.35.
Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.63 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 8, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2796.10 na kuuzwa kwa shilingi 2824.99 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.11 na kuuzwa kwa shilingi 2.14.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.47 na kuuzwa kwa shilingi 631.64 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.41 na kuuzwa kwa shilingi 148.71.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2297.16 na kuuzwa kwa shilingi 2320.13 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7484.31 na kuuzwa kwa shilingi 7556.69.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 27.87 na kuuzwa kwa shilingi 28.15 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.72 na kuuzwa kwa shilingi 18.88.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2412.47 na kuuzwa kwa shilingi 2437.06.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.73 na kuuzwa kwa shilingi 10.31.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.72 na kuuzwa kwa shilingi 176.88 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 329.25 na kuuzwa kwa shilingi 332.30.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 8th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.4686 631.6372 628.5529 08-Dec-22
2 ATS 147.4087 148.7149 148.0618 08-Dec-22
3 AUD 1534.2721 1550.0789 1542.1755 08-Dec-22
4 BEF 50.2826 50.7276 50.5051 08-Dec-22
5 BIF 2.1994 2.216 2.2077 08-Dec-22
6 CAD 1678.3506 1694.6388 1686.4947 08-Dec-22
7 CHF 2441.1886 2465.3384 2453.2635 08-Dec-22
8 CNY 329.2473 332.3017 330.7745 08-Dec-22
9 DEM 920.4465 1046.2819 983.3642 08-Dec-22
10 DKK 324.3474 327.5678 325.9576 08-Dec-22
11 ESP 12.191 12.2986 12.2448 08-Dec-22
12 EUR 2412.4758 2437.0646 2424.7702 08-Dec-22
13 FIM 341.1486 344.1716 342.6601 08-Dec-22
14 FRF 309.2275 311.9629 310.5952 08-Dec-22
15 GBP 2796.1013 2824.9903 2810.5458 08-Dec-22
16 HKD 294.8818 297.8268 296.3543 08-Dec-22
17 INR 27.872 28.1484 28.0102 08-Dec-22
18 ITL 1.0476 1.0569 1.0522 08-Dec-22
19 JPY 16.7163 16.8798 16.7981 08-Dec-22
20 KES 18.7218 18.8782 18.8 08-Dec-22
21 KRW 1.7373 1.7541 1.7457 08-Dec-22
22 KWD 7484.3072 7556.6882 7520.4977 08-Dec-22
23 MWK 2.079 2.239 2.159 08-Dec-22
24 MYR 522.6754 527.3022 524.9888 08-Dec-22
25 MZM 35.3953 35.6943 35.5448 08-Dec-22
26 NLG 920.4465 928.6092 924.5279 08-Dec-22
27 NOK 228.5548 230.7462 229.6505 08-Dec-22
28 NZD 1455.0201 1469.8023 1462.4112 08-Dec-22
29 PKR 9.7337 10.3117 10.0227 08-Dec-22
30 RWF 2.1075 2.1437 2.1256 08-Dec-22
31 SAR 610.9788 616.9246 613.9517 08-Dec-22
32 SDR 3046.2388 3076.7012 3061.47 08-Dec-22
33 SEK 220.8679 223.0015 221.9347 08-Dec-22
34 SGD 1691.3256 1707.9874 1699.6565 08-Dec-22
35 UGX 0.5984 0.6279 0.6132 08-Dec-22
36 USD 2297.1584 2320.13 2308.6442 08-Dec-22
37 GOLD 4073849.6495 4115748.2109 4094798.9302 08-Dec-22
38 ZAR 132.7086 133.9946 133.3516 08-Dec-22
39 ZMW 128.9493 134.1116 131.5304 08-Dec-22
40 ZWD 0.4299 0.4385 0.4342 08-Dec-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news