YALIYOSISIMUA 2022: Picha 15 za Usiku wa Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais Dkt.Mwinyi
















Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia tamasha la kumpongeza kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, lililoandaliwa na CCM Zanzibar la Usiku wa Dkt.Mwinyi lililofanyika Desemba 11,2022 katika viwanja vya Maisara Suleiman Unguja Wilaya ya Mjini na kushoto kwa Rais ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt.Abdalla Juma Sadala (Mabodi), Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mke wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mama Siti Mwinyi na kula kwa Rais ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news