Dkt.Shein azindua hoteli ya nyota tano (TOA Hotel) Pongwe

Rais mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Saba, Dkt.Ali Mohamed Shein (kushoto) akikunjuwa kitambaa kuashiria ufunguzi wa Hoteli ya Nyota Tano (TOA HOTEL) huko Pongwe Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais mstaafu wa Zanzibar, Awamu ya Saba, Dkt.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Hoteli ya Nyota Tano (TOA HOTEL) Pongwe Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja ikiwa ni Shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais mstaafu wa Zanzibar, Awamu ya Saba, Dkt.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Hoteli ya Nyota Tano (TOA HOTEL), Ally Mohungoo wakati akitembelea hoteli hiyo baada ya kuifungua Pongwe Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja ikiwa ni Shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika hafla ya Ufunguzi wa Hoteli ya TOA (TOA HOTEL) Pongwe Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Meneja wa Hoteli ya Nyota Tano (TOA HOTEL) Ally Mohungoo katika hafla ya Ufunguzi wa Hoteli hio iliopo Pongwe Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja ikiwa ni Shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji, Mudrik Ramadhan Soraga akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni rasmi katika hafla ya Ufunguzi wa Hoteli ya Nyota Tano (TOA HOTEL) Pongwe Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais mstaafu wa Zanzibar, Awamu ya Saba, Dkt.Ali Mohamed Shein akitoa hotuba katika Hafla ya Ufunguzi wa Hoteli ya Nyota Tano (TOA HOTEL) Pongwe Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais mstaafu wa Zanzibar, Awamu ya Saba, Dkt.Shein akitoa hotuba. (PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news