Mambo mazuri yaendelea kisiwani Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifungua pazia Januari 2, 2023 kuashiria uzinduzi wa Skuli ya Sekondari ya Makangale Kaskazini Pemba iliiyojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Fedha za Uviko-19 kupitia Shirika le Fedha Duniani (IMF) katika maadhimisho ya sherehe za shamra shamra za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)..
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kufungua Skuli ya Sekondari ya Makangale Kaskazini Pemba iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Fedha za Uviko-19 kupitia Shirika le Fedha Duniani (IMF) katika maadhimisho ya sherehe za shamra shamra za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Wanafunzi wa Skuli ya Makangale wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na viongozi, wananchi wa vijiji vya Wilaya ya Micheweni wakati wa ufunguzi Skuli ya Sekondari ya Makangale Kaskazini Pemba iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Fedha za Uviko-19 kupitia Shirika le Fedha Duniani (IMF) katika maadhimisho ya sherehe za shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news