HII HAPA ORODHA YA MAJINA YA WALIOPATA KIBALI CHA UHAMISHO KWA WATUMISHI 2260 WA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI KWENYE MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA

NA DIRAMAKINI

KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Prof.Riziki Shemdoe ameridhia kufanyika kwa uhamisho wa watumishi 2260 wa kubadilishana vituo vya kazi kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa maombi ya kuanzia mwezi Septemba hadi Disemba,2022.Pakua hapa pia

Prof.Shemdoe amesema Ofisi yake inaendelea kufanyia kazi uhamisho wa aina hiyo tu kwa sasa wakati tathmini kwenye halmashauri zote ikiendelea kufanyika ili kuendelea kufanya msawazo.

Pia amesisitiza kuwa maombi yote ya uhamisho yazingatie taratibu zote za uhamisho kama ilivyoainishwa kwenye Waraka wa Uhamisho No.2 wa mwaka 2018.

Aidha, amewataka watumishi waliopata vibali vya uhamisho kusubiria barua kwenye halmashauri zao na sio kuja Ofisi ya Rais-TAMISEMI kufuata barua hizo.

Orodha ya watumishi waliopata vibali vya uhamisho inapatikana hapa chini;

Post a Comment

0 Comments