Kazi zinazofanyika Rufiji ni njema-Maganya

NA JOHN MAPEPELE

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa ndugu Fadhili Rajabu Maganya amepongeza jitihada za Serikali na Mbunge wa Rufiji, Mhe. Mohamed Mchengerwa za kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo hilo huku akiwataka wataalam kusimamia na kutekeleza miradi kwa wakati ili kupata matokeo tarajiwa







Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news