Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira arejea nyumbani Brazil usiku wa manane


Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa kupitia ukurasa wa Twitter wa Simba SC, imeeleza kuwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo ya jijini Dar es Salaam, Roberto Oliveira ameondoka usiku huu kwenda nchini kwao Brazil kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu.

Post a Comment

0 Comments