Maegesho ya magari yazinduliwa Michenzani jijini Zanzibar

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita (kushoto) akikunjua kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Maegesho ya Magari, hafla iliofanyika Michenzani Mall jijini Zanzibar.Ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Maegesho ya Magari, hafla iliyofanyika Michenzani Mall jijini Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar.
Gari la Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita likipita kuelekea katika Maegesho ya Magari baada ya kufunguliwa hafla iliyofanyika Michenzani Mall Jijini Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita akitoa hotuba katika hafla ya ufunguzi wa maegesho ya magari iliyofanyika Michenzani Mall jijini Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar. (PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR).

Post a Comment

0 Comments