Rais Dkt.Mwinyi azindua Viwanja vya Michezo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF),Nassor Shaaban Ameir (wa tatu kushoto) wakati alipoangalia michoro ya Ujenzi wa Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni jijini Zanzibar leo, katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,ambapo viwanja hivyo vimejengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko-19 kupitia Shirika la Fedha Duniani (IMF).(Picha na Ikulu).Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(wa pili kulia) akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko-19 kupitia Shirika la Fedha Duniani (IMF),sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kulia ni Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Hemedi Suleiman Abdulla (wa pili kushoto) Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya ZSSF, Dkt.Hudda A.Yussuf (kushoto), Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zubeir Ali Maulid,kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Mhe.Dkt.Sada Mkuya Salum (wa pili kulia) wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa, wakati wa kuweka jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni jijini Zanzibar. Viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni jijini Zanzibar.Vijana wa Jeshi ya Kujenga Uchumi (JKU) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni jijini Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni jijini Zanzibar leo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news