Serikali yachukua hatua zaidi sakata la watumishi wa afya kutoleana maneno machafu ofisini

Watumishi hao ni Rose Shirima ambaye ni muuguzi mkunga na Getogo James Chuchu Mteknolojia wa maabara ambao walikuwa wakibishana na kutoleana lugha zisizofaa kazini hali iliyosababisha taaruki kwa umma;

Post a Comment

0 Comments