Serikali:Tanzania ni salama, haina machafuko wala matukio ya ugaidi

NA DIRAMAKINI

JAMHURI ya Muungano wa Tanzania imesema, haina machafuko wala matukio ya ugaidi kama inavyoripotiwa na baadhi ya taasisi au kampuni za nje ya nchi.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Januari 28, 2023 na Idara ya Habari (MAELEZO) ambayo imewataka kutulia na kuendelea kufanya kazi zao za kila siku kwa utulivu.

"Wananchi tulieni na endeleeni na shughuli zenu za kila siku, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vipo makini,"imefafanua sehemu ya taarifa hiyo kama inavyoendelea kufafanua kwa kina hapa chini;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news