Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Januari 19, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.54 na kuuzwa kwa shilingi 18.69 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.10 na kuuzwa kwa shilingi 2.27.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Januari 19, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2842.91 na kuuzwa kwa shilingi 2872.96 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.12 na kuuzwa kwa shilingi 2.17.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 223.02 na kuuzwa kwa shilingi 225.18 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.92 na kuuzwa kwa shilingi 136.22.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.60 na kuuzwa kwa shilingi 0.63 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2297.67 na kuuzwa kwa shilingi 2320.65 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7525.70 na kuuzwa kwa shilingi 7598.47.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.57 na kuuzwa kwa shilingi 631.79 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.44 na kuuzwa kwa shilingi 148.75.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.78 na kuuzwa kwa shilingi 17.96 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 340.27 na kuuzwa kwa shilingi 343.54.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2488.61 na kuuzwa kwa shilingi 2514.42.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today January 19th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.5747 631.7961 628.6854 19-Jan-23
2 ATS 147.4418 148.7482 148.095 19-Jan-23
3 AUD 1612.9666 1630.0246 1621.4956 19-Jan-23
4 BEF 50.2938 50.739 50.5164 19-Jan-23
5 BIF 2.1999 2.2165 2.2082 19-Jan-23
6 CAD 1719.3006 1735.974 1727.6373 19-Jan-23
7 CHF 2514.416 2539.2822 2526.8491 19-Jan-23
8 CNY 340.27 343.5456 341.9078 19-Jan-23
9 DEM 920.6528 1046.5164 983.5846 19-Jan-23
10 DKK 334.6061 337.9227 336.2644 19-Jan-23
11 ESP 12.1938 12.3014 12.2476 19-Jan-23
12 EUR 2488.6099 2514.4243 2501.5171 19-Jan-23
13 FIM 341.225 344.2488 342.7369 19-Jan-23
14 FRF 309.2968 312.0328 310.6648 19-Jan-23
15 GBP 2842.9111 2872.9647 2857.9379 19-Jan-23
16 HKD 293.6211 296.5535 295.0873 19-Jan-23
17 INR 28.277 28.5394 28.4082 19-Jan-23
18 ITL 1.0478 1.0571 1.0525 19-Jan-23
19 JPY 17.7811 17.9575 17.8693 19-Jan-23
20 KES 18.5371 18.6923 18.6147 19-Jan-23
21 KRW 1.8625 1.8801 1.8713 19-Jan-23
22 KWD 7525.7059 7598.4741 7562.09 19-Jan-23
23 MWK 2.1002 2.2718 2.186 19-Jan-23
24 MYR 532.9792 537.6854 535.3323 19-Jan-23
25 MZM 35.4033 35.7023 35.5528 19-Jan-23
26 NLG 920.6528 928.8173 924.7351 19-Jan-23
27 NOK 233.5984 235.8408 234.7196 19-Jan-23
28 NZD 1489.3518 1505.4056 1497.3787 19-Jan-23
29 PKR 9.5318 10.0898 9.8108 19-Jan-23
30 RWF 2.1209 2.1763 2.1486 19-Jan-23
31 SAR 611.7504 617.7034 614.7269 19-Jan-23
32 SDR 3098.8719 3129.8607 3114.3663 19-Jan-23
33 SEK 223.0166 225.1812 224.0989 19-Jan-23
34 SGD 1744.4942 1760.8696 1752.6819 19-Jan-23
35 UGX 0.601 0.6306 0.6158 19-Jan-23
36 USD 2297.6732 2320.65 2309.1616 19-Jan-23
37 GOLD 4399814.5397 4444207.1955 4422010.8676 19-Jan-23
38 ZAR 134.9207 136.2243 135.5725 19-Jan-23
39 ZMW 120.6356 125.2713 122.9534 19-Jan-23
40 ZWD 0.43 0.4386 0.4343 19-Jan-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news