Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Januari 26, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2297.78 na kuuzwa kwa shilingi 2320.76 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7526.06 na kuuzwa kwa shilingi 7598.83.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Januari 26, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2826.27 na kuuzwa kwa shilingi 2855.23 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.11 na kuuzwa kwa shilingi 2.17.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.63 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.2 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.66 na kuuzwa kwa shilingi 17.84 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 338.78 na kuuzwa kwa shilingi 341.97.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2496.54 na kuuzwa kwa shilingi 2522.67.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 224.19 na kuuzwa kwa shilingi 226.37 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 133.55 na kuuzwa kwa shilingi 134.84.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.50 na kuuzwa kwa shilingi 18.65 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.60 na kuuzwa kwa shilingi 631.83 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.45 na kuuzwa kwa shilingi 148.75.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today January 26th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.6044 631.826 628.7152 26-Jan-23
2 ATS 147.4488 148.7552 148.102 26-Jan-23
3 AUD 1628.668 1645.1868 1636.9274 26-Jan-23
4 BEF 50.2962 50.7414 50.5188 26-Jan-23
5 BIF 2.2 2.2166 2.2083 26-Jan-23
6 CAD 1717.9679 1734.6289 1726.2984 26-Jan-23
7 CHF 2491.6311 2514.9111 2503.2711 26-Jan-23
8 CNY 338.781 341.9672 340.3741 26-Jan-23
9 DEM 920.6965 1046.566 983.6312 26-Jan-23
10 DKK 335.7367 339.0445 337.3906 26-Jan-23
11 ESP 12.1944 12.3019 12.2481 26-Jan-23
12 EUR 2496.5403 2522.6661 2509.6032 26-Jan-23
13 FIM 341.2413 344.2651 342.7532 26-Jan-23
14 FRF 309.3115 312.0475 310.6795 26-Jan-23
15 GBP 2826.2721 2855.2311 2840.7516 26-Jan-23
16 HKD 293.3801 296.2723 294.8262 26-Jan-23
17 INR 28.155 28.4174 28.2862 26-Jan-23
18 ITL 1.0479 1.0571 1.0525 26-Jan-23
19 JPY 17.6657 17.8383 17.752 26-Jan-23
20 KES 18.5007 18.6556 18.5781 26-Jan-23
21 KRW 1.8584 1.8762 1.8673 26-Jan-23
22 KWD 7526.0626 7598.8344 7562.4485 26-Jan-23
23 MWK 2.0794 2.2396 2.1595 26-Jan-23
24 MYR 539.5121 544.2683 541.8902 26-Jan-23
25 MZM 35.405 35.704 35.5545 26-Jan-23
26 NLG 920.6965 928.8613 924.7789 26-Jan-23
27 NOK 232.1789 234.4297 233.3043 26-Jan-23
28 NZD 1487.3544 1503.3884 1495.3714 26-Jan-23
29 PKR 9.4273 10.0033 9.7153 26-Jan-23
30 RWF 2.113 2.168 2.1405 26-Jan-23
31 SAR 612.1216 618.1276 615.1246 26-Jan-23
32 SDR 3097.9205 3128.8997 3113.4101 26-Jan-23
33 SEK 224.1979 226.3737 225.2858 26-Jan-23
34 SGD 1745.3719 1761.7551 1753.5635 26-Jan-23
35 UGX 0.5997 0.6293 0.6145 26-Jan-23
36 USD 2297.7822 2320.76 2309.2711 26-Jan-23
37 GOLD 4424287.6728 4469714.1372 4447000.905 26-Jan-23
38 ZAR 133.5462 134.8456 134.1959 26-Jan-23
39 ZMW 118.4613 123.2807 120.871 26-Jan-23
40 ZWD 0.43 0.4386 0.4343 26-Jan-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news