Watumia jina la Balozi Dkt.Kanza, watumishi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kutapeli

NA DIRAMAKINI

UBALOZI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani umesema umepokea taarifa kwamba kuna mtu au watu wanaotumia jina la Mheshimiwa Balozi Dkt.Elsie Sia Kanza na majina ya watumishi wa ubalozi kufanya utapeli kwa njia ya simu.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Januari 29, 2023 na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, watu hao wamekuwa wakiomba michango mbalimbali na wamekuwa wakieleza kwamba ubalozi unaandaa tukio wanalosema litafanyika Washington D.C nchini Marekani mwezi Februari, 2023. Endelea;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news