Waziri Simbachawene aipa kongole Kamati ya Kudumu ya Bunge Sheria Ndogo

NA MWANDISHI WETU

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu, Mhe. George Simbachawene amewapongeza wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Sheria Ndogo kwa kazi kubwa ya kuchambua sheria ndogo zilizowasilishwa katika Mkutano wa Tisa wa Bunge.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene leo asubuhi akipokea Jedwali la Uchambuzi wa Sheria Ndogo kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu Sheria Ndogo, Mhe. Kilumbe Shabani Ng’enda Bungeni jijini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo wakiwa katika kikao wakati wa kukabidhi jedwali la Uchambuzi la Sheria Ndogo.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu Sheria Ndogo, Mhe. Kilumbe Shabani Ng’enda (kushoto) akizungumza kabla ya kukabidhi Jedwali la Uchambuzi la Sheria Ndogo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu, Mhe. George Simbachawene (kushoto) akizungumza baada ya kupokea Jedwali la Uchambuzi la Sheria Ndogo.

Waziri ameyasema hayo leo Januari 20,2023 katika Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo inaisaidia Serikali ili iwezee kufanya mambo kwa kuzingatia haki na sheria.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news