Rais Dkt.Mwinyi afungua Maonesho ya Kimataifa ya Sekta ya Utalii

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Maonesho ya Kimataifa ya Sekta ya Utalii “The Z Summit” baada ya kuyafungua leo Februari 23,2023 katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja jijini Zanzibar, akimsikiliza Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Mhe. Rahim Bhaloo, wakati akitembelea maonesho hayo na kushoto kwa Rais ni Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Mhe. Simai Mohammed Said na Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania, Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Bw.Nicola Alessandro, wakati akitembelea maonesho ya Sektya ya Utalii “The Z Summit” baada ya kuyafungua leo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja jijini Zanzibar na kulia kwa Rais ni Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Bw.Rahim Bhaloo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) wakati akitembelea maonesho ya Kimataifa ya Sekta ya Utalii “The Z Summit” baada ya kuyafungua maonesho hayo leo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja jijini Zanzibar na kulia kwa Rais ni Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Bw.Rahim Bhaloo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiangalia fulana wakati akitembelea banda la maonesho la Zanzibar Padel, baada ya kuyafungua Maonesho ya Kimataifa ya Sekta ya Utalii “The Z Summit” yanayofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharini”B” Unguja leo na kulia kwa Rais ni Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Bw.Rahim Bhaloo na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja jijini Zanzibar, baada ya kuyafungua maonesho ya Kimataifa ya Sekta ya Utalii “The Z Summit” na kushoto kwa Rais ni Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Mhe. Simai Mohammed Said na Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania, Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa na kulia kwa Rais ni Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Bw. Rahim Bhaloo na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news