Rais Dkt.Mwinyi ateta na msanii wa kizazi kipya Mboso

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Msanii wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva), Mbwana Yussuf Kilungi (Mboso) alipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar. (Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa fulana ikiwa na jina lake na Msanii wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva), Mbwana Yussuf Kilungi (Mboso) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar na kushoto kwa Rais ni Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi.
Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi wakati akikabidhiwa fulana na Msanii wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva) Mbwana Yussuf Kilungi (Mboso) baada ya kumaliza mazungumzo yake yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakiagana na Msanii wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva), Mbwana Yussuf Kilungi (Mboso) baada ya kumaliza mazungumzo yake yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news