Rais Dkt.Samia ashiriki Mkutano Maalum wa 20 EAC jijini Bujumbura

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Rwanda Paul Kagame wakati wa Mkutano Maalum wa 20 wa Wakuu hao wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika Bujumbura nchini Burundi tarehe 4 Februari, 2023.(Picha na Ikulu).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Mkutano Maalum wa 20 wa Wakuu hao wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika Bujumbura nchini Burundi tarehe 4 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa Wimbo wa Jumuiya hiyo ukipigwa kabla ya kuanza kwa Mkutano Maalum wa 20 wa Wakuu hao wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika Bujumbura nchini Burundi tarehe 4 Februari, 2023.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news