Rais Dkt.Samia ateta na ujumbe kutoka UAE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Nchi katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Al Nahyan, Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21, Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Nchi katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Al Nahyan aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21, Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Nchi katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Al Nahyan aliyeambatana na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21, Februari, 2023. (Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news