Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Februari 17, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.75 na kuuzwa kwa shilingi 631.87 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.47 na kuuzwa kwa shilingi 148.78.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Februari 17, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.60 na kuuzwa kwa shilingi 0.63 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2298.18 na kuuzwa kwa shilingi 2321.16 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7504.01 na kuuzwa kwa shilingi 7576.08.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2765.56 na kuuzwa kwa shilingi 2794.44 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.16.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2458.36 na kuuzwa kwa shilingi 2483.87.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 220.65 na kuuzwa kwa shilingi 222.79 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 126.78 na kuuzwa kwa shilingi 127.99.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.16 na kuuzwa kwa shilingi 17.33 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 335.30 na kuuzwa kwa shilingi 338.56.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.30 na kuuzwa kwa shilingi 18.46 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today February 17th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.7462 631.8661 628.8062 17-Feb-23
2 ATS 147.4742 148.7809 148.1275 17-Feb-23
3 AUD 1586.2026 1602.5289 1594.3657 17-Feb-23
4 BEF 50.3049 50.7502 50.5275 17-Feb-23
5 BIF 2.2004 2.217 2.2087 17-Feb-23
6 BWP 173.7423 176.8724 175.3073 17-Feb-23
7 CAD 1715.3144 1731.9505 1723.6324 17-Feb-23
8 CHF 2490.9801 2514.7996 2502.8898 17-Feb-23
9 CNY 335.3047 338.5589 336.9318 17-Feb-23
10 CUC 38.369 43.6144 40.9917 17-Feb-23
11 DEM 920.8552 1046.7463 983.8007 17-Feb-23
12 DKK 330.1079 333.3611 331.7345 17-Feb-23
13 DZD 18.0361 18.0476 18.0418 17-Feb-23
14 ESP 12.1965 12.3041 12.2503 17-Feb-23
15 EUR 2458.3612 2483.8733 2471.1173 17-Feb-23
16 FIM 341.3001 344.3245 342.8123 17-Feb-23
17 FRF 309.3648 312.1013 310.7331 17-Feb-23
18 GBP 2765.8575 2794.4445 2780.151 17-Feb-23
19 HKD 292.8026 295.7193 294.2609 17-Feb-23
20 INR 27.8085 28.0679 27.9382 17-Feb-23
21 ITL 1.048 1.0573 1.0527 17-Feb-23
22 JPY 17.1647 17.3324 17.2486 17-Feb-23
23 KES 18.3049 18.4585 18.3817 17-Feb-23
24 KRW 1.7875 1.8039 1.7957 17-Feb-23
25 KWD 7504.0104 7576.082 7540.0462 17-Feb-23
26 MWK 2.0799 2.24 2.1599 17-Feb-23
27 MYR 522.0759 526.818 524.4469 17-Feb-23
28 MZM 35.6749 35.9758 35.8254 17-Feb-23
29 NAD 94.7007 95.4295 95.0651 17-Feb-23
30 NLG 920.8552 929.0214 924.9383 17-Feb-23
31 NOK 224.5674 226.7311 225.6493 17-Feb-23
32 NZD 1443.2559 1458.6169 1450.9364 17-Feb-23
33 PKR 8.27 8.7757 8.5228 17-Feb-23
34 QAR 759.851 761.8442 760.8476 17-Feb-23
35 RWF 2.0945 2.1597 2.1271 17-Feb-23
36 SAR 612.7495 618.811 615.7802 17-Feb-23
37 SDR 3073.5835 3104.3194 3088.9515 17-Feb-23
38 SEK 220.6477 222.7964 221.7221 17-Feb-23
39 SGD 1721.2239 1738.1758 1729.6999 17-Feb-23
40 TRY 121.9581 123.145 122.5515 17-Feb-23
41 UGX 0.602 0.6316 0.6168 17-Feb-23
42 USD 2298.1782 2321.16 2309.6691 17-Feb-23
43 GOLD 4225115.8507 4269190.0483 4247152.9495 17-Feb-23
44 ZAR 126.7827 127.9948 127.3888 17-Feb-23
45 ZMK 115.0275 119.4627 117.2451 17-Feb-23
46 ZWD 0.4301 0.4387 0.4344 17-Feb-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news