Hii dawa ndio iliyonitoa jela baada ya kufungwa kwa kosa la uongo

NA MWANDISHI WETU

UKWELI ni kwamba sio kila aliyepo jela ametenda kosa, wapo wengi wamefungwa vifungo virefu jela kwa mambo ya kusingiziwa na kufungwa kutokana pengine waliofanya hivyo walitoa rushwa ambayo ni adui wa haki.

Nasema jambo hilo nikiwa na ushahidi wa kutosha na uzoefu kwa sababu niliwahi kupitia hilo, nilifungwa kwa kosa la kusingiziwa kuwa nimevunja duka la mtu na kuiba, kitu ambacho hakikuwa kweli.

Asubuhi moja nikiwa katika eneo langu la kazi nilishangaa Polisi wakija na kunikamata, nilishtuka na nilipouliza tatizo ni nini hasa?, waliniambia kuwa nitaenda kujieleza huko mbele ya safari, basi nilifikishwa kituo cha polisi na baada ya siku mbili, nilifikishwa mahakamani na kufunguliwa mashtaka ya wizi.

Nilikana mashtaka yote yaliyonikabili, niliambiwa kuwa nimeiba fedha na mali katika duka lile ambalo kiukweli nilikuwa na muda mrefu tangu niende hapo kupata huduma, siwezi kusahau jinsi ambavyo nilipitia maumivu makali kihisia.

Kwangu maisha yalikuwa ni magumu sana, maana sikuweza kupata dhamana, hivyo kila kesi yangu ilipotajwa nilitolewa mahabusu na kuletwa mahakamani, asikuambie mtu maisha ya mahabusu ni magumu sana, siwezi hata kusimulia jinsi yalivyo.

Kumbe huo ulikuwa ni mwanzo tu, picha kamili lilianza pale ambapo nilisomewa hukumu na kuhukumiwa jela miaka sita, ilikuwa ni siku mbaya sana kuwahi kutokea maisha mwangu, nilichukulia na kupelekwa jela kuanza kutumikia kifungo changu.

Nikiwa jela na nimeshapoteza matumaini ya maisha, alikuja rafiki yangu kunitembelea na kuniambia kuwa Dr. Kiwanga anaweza kunisaidia kushinda kesi hiyo, hivyo nachotakiwa ni kumwambia wakili wangu akate rufaa ya kesi hiyo.

Siku iliyofuata Wakili wangu alikuja jela kunitembelea na kuniambia ameshapata nakala ya hukumu, nilimwambia kuwa akate rufaa kwani rafiki yangu ananifuatilia dawa kwa Dr.Kiwanga, hivyo nitaweza kushinda kesi hiyo.

Basi alikata rufaa na hukumu ilipokuja kupitiwa upya, ilikuja kubainika kuwa sikuwa na hatia yoyote, hivyo nikaachiwa huru, binafsi namshukuru sana Dr. Kiwanga kwa tiba yake ya ajabu.

Kumbuka Dr.Kiwanga ana uwezo wa kukuwezesha kuwa mtu wa bahati maishani, ana uwezo wa kukukinga kutokana na adui zako wanaokutakia mabaya kwa wakati wowote ule kwa muda wa siku tatu utaona matokeo yake. Kwa mengi zaidi wasiliana naye kupitia simu +254 769404965 kwa usaidizi wa haraka.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news