Mamlaka yaja na TAWA Sea Cruiser kuwapa watalii tulizo la moyo nchini

NA DIRAMAKINI

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb), Machi 14, mwaka huu anatarajiwa kuzindua boti ya kisasa kwa ajili ya utalii ambayo inamilikiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA).
Boti hiyo ambayo inafahamikwa kwa jina la TAWA Sea Cruiser imetengenezwa na wazawa kupitia kampuni ya Songoro Marine Transport Ltd, lengo likiwa ni kuongeza nguvu katika kuendeleza na kutekeleza mkakati kabambe wa kupaisha utalii nchini;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news