MAT yatoa tamko madaktari 162 kufutiwa vyeti SAUT

NA DIRAMAKINI

CHAMA cha Madaktari Tanzania (MAT) kimetoa tamko kuhusu madaktari 162 ambao vyeti vyao vya uhitimu vilifutwa na Baraza la Senate la Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT).

Tamko hilo limetolea na Rais wa MAT, Dkt.Deusdedit Ndilanha ambapo amebainisha kuwa, chama hicho kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa hiyo;


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news