Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Janet Mbene atoa neno Siku ya Wanawake Duniani


"Kwa miaka mingi, Wanawake wa Vijijini wamekuwa na changamoto ya upatikanaji wa nishati safi ya kupikia.Nishati inayotumika kupikia Vijijini kwa kiasi kikubwa ni kuni, mkaa na kinyesi cha wanyama;
"Nishati hizo huathiri mazingira na afya ya watumiaji.Wakala wa Nishati Vijijini tumekuja na mkakati wa kusaidia Wanawake Vijijini kwa kuwaboreshea nishati ya kupikia,"Janet Mbene,Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news