Rais Dkt.Mwinyi ateta na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza

NA DIRAMAKINI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar imefungua milango ya uwekezaji.

Mheshimiwa Rais Dkt.Mwinyi ameyasema hayo leo Machi 23, 2023 Ikulu jijini Zanzibar alipokutana na wawekezaji kutoka Uingereza ambao waliongozwa na Bi. Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Association pamoja na Amanda Van Dyke wa Kampuni ya ARCH.

Pia, Mheshimiwa Rais Dkt.Mwinyi amewataka wawekezaji hao kuwekeza katika fursa zitokanazo na Uchumi wa Buluu na zaidi kwenye suala la uvuvi na vifaa vya kuhifadhia samaki.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza ukiongozwa na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation walipofika Ikulu jijini Zanzibar leo.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news