Katibu Mkuu wa Uchukuzi afunga Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi

Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi Sekta ya Uchukuzi, ambaye ni Katibu Mkuu-Uchukuzi, Bw.Gabriel Migire, akizungumza na wajumbe wa baraza (hawapo pichani) wakati akifunga baraza la wafanyakazi Sekta ya Uchukuzi, lililofanyika jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Sekta ya Uchukuzi, Dk Ally Possi, akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi (hawapo pichani), wakati wa ufungaji wa baraza hilo, jijini Dodoma.
Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Profesa Zacharia Mganilwa akichangia mada kuhusu majadiliano ya mpango wa bajeti wa mwaka 2023/2024 wakati wa ufungaji wa baraza la wafanyakazi wa sekta ya Uchukuzi, lililofanyika Jijini Dodoma. 
Baadhi ya Wajumbe wa Sekta ya Uchukuzi, wakimsikiliza Katibu Mkuu Bw.Gabriel Migire (hayupo pichani) wakati akifunga baraza la wafanyakazi, lililofanyika Jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news