Rais Dkt.Mwinyi ateta na wawekezaji wa Kiwanda cha Uchakataji wa Samaki (Fungurefu)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Wawekezaji wa Kiwanda cha Uchakataji wa Samaki (Fungurefu) wakiongozwa na Mwenyekiti Jin-Il Kim (wa pili kulia) leo walipofika Ikulu jijini Zanzibar kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt.Mohamed Said Mohamed (Dimwa). (Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj DkT.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Wawekezaji wa Kiwanda cha Uchakataji wa Samaki (Fungurefu) wakiongozwa na Mwenyekiti Jin-Il Kim (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj DkT.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Wawekezaji wa Kiwanda cha Uchakataji wa Samaki (Fungurefu) wakiongozwa na Mwenyekiti Jin-Il,Kim (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.

Post a Comment

0 Comments