Salamu na ujumbe kutoka kwa wafanyakazi wanawake REA kuelekea Machi 8"Nawatakia heri ya Siku ya Wanawake Duniani wanawake wote Tanzania, tusherehekee huku tukiweka dhamira ya kuunga mkono jitihada za Serikali zenye kujenga matumizi ya nishati bora, safi na salama kwa ajili ya kutunza mazingira pamoja na kulinda afya zetu,"Mkurugenzi wa Uendelezaji Masoko na Teknolojia REA,Mhandisi Advera Mwijage;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news