Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Machi 24, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 17.53 na kuuzwa kwa shilingi 17.67 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Machi 24, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 222.94 na kuuzwa kwa shilingi 225.09 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 126.65 na kuuzwa kwa shilingi 127.84.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.49 na kuuzwa kwa shilingi 17.66 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 336.78 na kuuzwa kwa shilingi 340.03.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1542.67 na kuuzwa kwa shilingi 1558.56 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3085.57 na kuuzwa kwa shilingi 3116.43.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2299.41 na kuuzwa kwa shilingi 2322.4 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7515.87 na kuuzwa kwa shilingi 7585.08.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2827.81 na kuuzwa kwa shilingi 2857.02 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.07 na kuuzwa kwa shilingi 2.13.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 626.22 na kuuzwa kwa shilingi 632.29 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.55 na kuuzwa kwa shilingi 148.86.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2500.37 na kuuzwa kwa shilingi 2526.31.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1682.94 na kuuzwa kwa shilingi 1699.27 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2509.17 na kuuzwa kwa shilingi 2533.16.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today March 24th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 626.2169 632.2897 629.2533 24-Mar-23
2 ATS 147.5529 148.8603 148.2066 24-Mar-23
3 AUD 1542.6714 1558.5626 1550.617 24-Mar-23
4 BEF 50.3317 50.7773 50.5545 24-Mar-23
5 BIF 2.2016 2.2181 2.2099 24-Mar-23
6 CAD 1682.9437 1699.2757 1691.1097 24-Mar-23
7 CHF 2509.1728 2533.1588 2521.1658 24-Mar-23
8 CNY 336.7859 340.0293 338.4076 24-Mar-23
9 DEM 921.3471 1047.3055 984.3263 24-Mar-23
10 DKK 335.7826 339.091 337.4368 24-Mar-23
11 ESP 12.203 12.3106 12.2568 24-Mar-23
12 EUR 2500.374 2526.3068 2513.3404 24-Mar-23
13 FIM 341.4824 344.5084 342.9954 24-Mar-23
14 FRF 309.5301 312.2681 310.8991 24-Mar-23
15 GBP 2827.8095 2857.0165 2842.413 24-Mar-23
16 HKD 292.9329 295.8585 294.3957 24-Mar-23
17 INR 27.9648 28.2256 28.0952 24-Mar-23
18 ITL 1.0486 1.0579 1.0532 24-Mar-23
19 JPY 17.49 17.6608 17.5754 24-Mar-23
20 KES 17.526 17.6743 17.6001 24-Mar-23
21 KRW 1.7937 1.8105 1.8021 24-Mar-23
22 KWD 7515.8722 7585.0806 7550.4764 24-Mar-23
23 MWK 2.0901 2.2285 2.1593 24-Mar-23
24 MYR 520.6988 525.4298 523.0643 24-Mar-23
25 MZM 35.694 35.995 35.8445 24-Mar-23
26 NLG 921.3471 929.5177 925.4324 24-Mar-23
27 NOK 221.7534 223.8846 222.819 24-Mar-23
28 NZD 1440.8078 1456.1448 1448.4763 24-Mar-23
29 PKR 7.7342 8.1974 7.9658 24-Mar-23
30 RWF 2.0729 2.1367 2.1048 24-Mar-23
31 SAR 612.1465 618.1693 615.1579 24-Mar-23
32 SDR 3085.5728 3116.4286 3101.0007 24-Mar-23
33 SEK 222.936 225.0955 224.0157 24-Mar-23
34 SGD 1733.4383 1750.1131 1741.7757 24-Mar-23
35 UGX 0.5863 0.6144 0.6003 24-Mar-23
36 USD 2299.406 2322.4 2310.903 24-Mar-23
37 GOLD 4531669.2278 4578379.36 4555024.2939 24-Mar-23
38 ZAR 126.6479 127.8439 127.2459 24-Mar-23
39 ZMW 106.1904 109.1866 107.6885 24-Mar-23
40 ZWD 0.4303 0.4389 0.4346 24-Mar-23

Post a Comment

0 Comments