Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Machi 29, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1536.66 na kuuzwa kwa shilingi 1552.26 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3085.51 na kuuzwa kwa shilingi 3116.37.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2299.70 na kuuzwa kwa shilingi 2322.7 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7509.97 na kuuzwa kwa shilingi 7582.59.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2834.15 na kuuzwa kwa shilingi 2863.42 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.04 na kuuzwa kwa shilingi 2.09.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Machi 29, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 626.28 na kuuzwa kwa shilingi 632.37 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.57 na kuuzwa kwa shilingi 148.88.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2491.04 na kuuzwa kwa shilingi 2516.88.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1684.15 na kuuzwa kwa shilingi 1700.74 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2506.21 na kuuzwa kwa shilingi 2530.72.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 17.49 na kuuzwa kwa shilingi 17.64 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 222.29 na kuuzwa kwa shilingi 224.46 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 126.51 na kuuzwa kwa shilingi 127.76.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.57 na kuuzwa kwa shilingi 17.74 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 334.36 na kuuzwa kwa shilingi 337.65.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today March 29th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 626.2808 632.3714 629.3261 29-Mar-23
2 ATS 147.572 148.8796 148.2258 29-Mar-23
3 AUD 1536.6615 1552.2604 1544.461 29-Mar-23
4 BEF 50.3382 50.7838 50.561 29-Mar-23
5 BIF 2.2018 2.2184 2.2101 29-Mar-23
6 CAD 1684.1472 1700.7396 1692.4434 29-Mar-23
7 CHF 2506.2151 2530.7257 2518.4704 29-Mar-23
8 CNY 334.3564 337.6508 336.0036 29-Mar-23
9 DEM 921.4661 1047.4408 984.4535 29-Mar-23
10 DKK 334.4779 337.7883 336.1331 29-Mar-23
11 ESP 12.2045 12.3122 12.2584 29-Mar-23
12 EUR 2491.0383 2516.8777 2503.958 29-Mar-23
13 FIM 341.5265 344.5529 343.0397 29-Mar-23
14 FRF 309.57 312.3084 310.9392 29-Mar-23
15 GBP 2834.154 2863.4246 2848.7893 29-Mar-23
16 HKD 292.9633 295.8891 294.4262 29-Mar-23
17 INR 27.9977 28.2587 28.1282 29-Mar-23
18 ITL 1.0487 1.058 1.0534 29-Mar-23
19 JPY 17.5671 17.736 17.6515 29-Mar-23
20 KES 17.4882 17.6363 17.5623 29-Mar-23
21 KRW 1.7707 1.7869 1.7788 29-Mar-23
22 KWD 7509.9698 7582.5934 7546.2816 29-Mar-23
23 MWK 2.0808 2.2188 2.1498 29-Mar-23
24 MYR 522.8974 527.2872 525.0923 29-Mar-23
25 MZM 35.4346 35.7338 35.5842 29-Mar-23
26 NLG 921.4661 929.6378 925.552 29-Mar-23
27 NOK 220.614 222.7796 221.6968 29-Mar-23
28 NZD 1433.4049 1448.2035 1440.8042 29-Mar-23
29 PKR 7.7153 8.1863 7.9508 29-Mar-23
30 RWF 2.0451 2.0993 2.0722 29-Mar-23
31 SAR 612.4049 618.4631 615.434 29-Mar-23
32 SDR 3085.5114 3116.3666 3100.939 29-Mar-23
33 SEK 222.2945 224.4653 223.3799 29-Mar-23
34 SGD 1732.2258 1748.626 1740.4259 29-Mar-23
35 UGX 0.5848 0.6145 0.5996 29-Mar-23
36 USD 2299.703 2322.7 2311.2015 29-Mar-23
37 GOLD 4500748.6832 4548543.41 4524646.0466 29-Mar-23
38 ZAR 126.5137 127.7571 127.1354 29-Mar-23
39 ZMW 105.1231 109.2008 107.1619 29-Mar-23
40 ZWD 0.4304 0.439 0.4347 29-Mar-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news