Zitto Kabwe:Ni faraja sana kukutana na kaka yangu Freeman Mbowe

"Ilikuwa ni faraja sana leo jioni (Machi 28,2023) kukutana na kaka yangu Freeman Mbowet, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Kikao cha Wakuu wa Vyama Wanachama wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kilichofanyika katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam. Tulikuwa na kikao kizuri kilichosheheni mawazo ya kuendeleza mageuzi ya kisiasa nchini. Nina furaha sana kwamba Vyama vyote vya TCD sasa vinafanya kazi pamoja kuimarisha Utamaduni wa majadiliano,"Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news