Hiki hapa kikosi cha Simba kitakachoanza leo na Wydad Casablanca


Kikosi cha Simba SC saa nne usiku leo kitashuka katika Uwanja wa Mohamed wa V kuikabili Wydad Casablanca kutoka Morocco katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika.

Kocha Mkuu Roberto Oliviera ‘Robertinho’ hajafanya mabadiliko yoyote ya kikosi kilichoibuka na ushindi wa bao moja kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam.

Kikosi Kamili kilivyopangwa:

Ally Salim (1), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Joash Onyango (16), Henock Inonga (29), Sadio Kanoute (13), Clatous Chama (17), Mzamiru Yassin (19), Jean Baleke (4), Saido Ntibazonkiza (39), Kibu Denis (38).

Wachezaji wa Akiba

Beno Kakolanya (30), Israel Patrick (5), Kennedy Juma (26), Erasto Nyoni (18), Pape Sakho (10), Nassor Kapama (35), John Bocco (22), Moses Phiri (25), Peter Banda (11).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news