Kumbukizi ya Miaka 51 ya kifo cha Rais Sheikh Abeid Amani Karume


Viongozi mbalimbali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na wananchi leo Aprili 7, 2023 wameungana katika kumbukizi ya Miaka 51 ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume iliofanyika Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui Zanzibar.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news