Rais Dkt.Mwinyi afungua Kongamano la Maadhimisho Miaka 59 ya Muungano

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Prof. Patrick Lumumba na viongozi wengine alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja jijini Zanzibar leo Aprili 25, 2023 kuhudhuria Kongamano la Maadhimisho Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika katika ukumbi huo.(Picha na Ikulu).
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja jijini Zanzibar kwa ajili ya kulifungua Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi huo leo.
Mtoa mada Prof. Patrick Lumumba akisisitiza jambo wakati akiwasilisha mada yake Umuhimu wa Muungano, Umoja Katika Bara la Afrika (Maadili Yetu Ndio Ngao Yetu) wakati wa Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja jijini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mada ya Umuhimu wa Muungano Umoja Katika Bara la Afrika (Maadili Yetu Ndio NgaoYetu) ikiwasilishwa na Prof. Patrick Lumumba,katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja jijini Zanzibar wakati wa Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na (kulia kwa Rais) ni Mhe. Stephen Masatu Wasira na kushoto kwa Rais ni Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Unguja, Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa.
Mtoa mada Mhe. Stephen Masatu Wasira akiwasilisha mada yake kuhusu Historia ya Umuhimu wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, wakati wa Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja jijini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi kumpongeza mwasilishaji wa mada, Mhe.Stephen Wasira, wakati akiwasilisha mada yake katika Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja jijini Zanzibar leo.
Mtoa mada Mhe.Balozi Mohammed Haji Hamza akiwasilisha mada yake kuhusu Fursa Ziliopo kwa Vijana Ndani ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, wakati wa Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja jijini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja jijini Zanzibar leo.
Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Zanzibar na Tanganyika, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinbuzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja jijini Zanzibar. 
Baadhi ya wanafunzi mbalimbali na wananchi wakishiriki katika Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja jijini Zanzibar leo, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyeki wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi huo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja jijini Zanzibar leo.
Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Prof. Patrick Lumumba baada ya kulifungua Kongamano la Kuadhimisha Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja jijini Zanzibar leo na katikati ni Mhe.Stephen Wasira. 

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news