Rais Dkt.Mwinyi ajumuika na wananchi katika sala ya Ijumaa huko Masjid Mushawal Mwebeshauri

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Saleh Omar Kaabi pamoja na viongozi wengine alipowasili katika Masjid Mushawal Mwebeshauri jijini Zanzibar leo kushiriki katika ibada ya sala ya Ijumaa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) aliposalimiana na viongozi wa dini ya Kiisalamu alipowasili katika Masjid Mushawal Mwebeshauri jijini Zanzibar leo Aprili 21, 2023 kushiriki katika ibada ya sala ya Ijumaa.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news