Magazeti leo Aprili 14,2026

Makamu Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Kamishna Mstaafu wa Jeshi la Uhamiaji, Said Abeid Kamugisha, amewataka waendeshaji wa mchakato wa usaili wa Ajira serikalini kutanguliza maslahi ya Taifa kwa kuzingatia uadilifu, uwajibikaji na uaminifu katika zoezi la kuwachuja waombaji kazi.
Wito huo umetolewa Aprili 13, 2026, jijini Arusha wakati wa kikao kazi kilicholenga kutoa mwongozo wa uendeshaji wa usaili kwa Vijana walioitwa kwenye usaili kinachofanyika katika Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA).
‎Kamugisha amesisitiza kuwa wataalamu kutoka kada mbalimbali wanapaswa kufanya maamuzi sahihi bila upendeleo wowote, ili kupata watumishi wenye sifa stahiki watakaosaidia kulijenga Taifa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here