Rais Dkt.Samia awakutanisha wadau mbalimbali katika Futari Ikulu jijini Dar es Salaam

LEO Aprili 15, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amewaandalia wadau mbalimbali wakiwemo viongozi, wasanii na wanahabari Futari maalumu Ikulu jijini Dar es Salaam.



Viongozi mbalimbali, Wasanii, Wahariri wa vyombo vya Habari pamoja na Wageni wengine wakiwa kwenye ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam. Futari hiyo iliandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 15 Aprili 2023.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news